Kama unataka akaunti yako na taarifa zako binafsi zifutwe kwenye FarmHub App, jaza fomu hapa chini. Baada ya kupokea ombi lako, timu yetu itathibitisha utambulisho wako na kufuta au kutozitambulisha (anonymize) taarifa zako ndani ya siku 30 za kazi.
✅ Ombi lako limepokelewa. Tutawasiliana nawe kupitia barua pepe au simu uliyotoa ili kuthibitisha utambulisho wako, kisha kukamilisha ufutaji wa data ndani ya siku 30 za kazi.
Njia nyingine za kuomba ufutaji:
Barua pepe: info@farmhub.co.tz
Simu / WhatsApp: 0786 222 749
Simu / WhatsApp: 0786 222 749
Angalia pia Sera yetu ya Faragha kwa maelezo zaidi kuhusu haki zako na jinsi tunavyoshughulikia taarifa zako.